Skip to main content
Skip to main content

Vimbunga viwili adimu vya baharini vyatokea kwa pwani ya Italia.

  • | BBC Swahili
    7,159 views
    Duration: 16s
    Tazama tukio hili adimu la kutokea kwa vimbunga viwili vya baharini kwa wakati mmoja katika pwani ya Italia. Tukio hilo lilishuhudiwa katika kisiwa cha Capri, karibu na miamba maarufu ya Faraglioni. Vimbunga vya baharini ni mikondo ya upepo inayozunguka kwa kasi juu ya maji, na kufanana na vimbunga vinavyotokea nchi kavu. #bbcswahili #vimbungabaharini #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw