Vinara wa Azimio wapinga mswada wa fedha

  • | Citizen TV
    2,280 views

    Vinara wa Azimio wakiongozwa na Raila Odinga wanataka bunge kutopitisha mswada wa fedha wa mwaka huu wakisema utaongeza gharama ya maisha. Kulingana nao, nyongeza ya ushuru itahujumu uchumi wa taifa.