Vioja mazishini Machakos

  • | Citizen TV
    5,101 views

    Familia moja eneo la Kangundo kaunti ya Machakos ililazimika kukimbilia usalama wao wakati wa mazishi ya mwana wao baada ya kundi la vijana kuteka mazishi hayo. Mbali na kuingilia mazishi hayo, vijana hawa waliendesha visanga na vioja baada ya kuwafurusha jamaa na hata viongozi wa kidini. Jamaa za marehemu Leonard Mutua hadi sasa wanasema hawaelewi yaliyotokea baada ya kuwacha maiti mazishini