Skip to main content
Skip to main content

Viongozi akina mama wampongeza Ida odinga kwa kuteuliwa kama balozi wa Kenya, UNEP

  • | NTV Video
    1,538 views
    Duration: 3:31
    Viongozi akina mama wanohusishwa na chama cha ODM eneo la Pwani, wamempongeza mjane wa aliyekuwa waziri marehemu Raila Odinga, mama Ida Odinga kwa kuteuliwa kama balozi wa Kenya na mwakilishi wa kudumu katika shirika la umoja wa mataifa kuhusu mazingira (UNEP). Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya