Viongozi wa bara Afrika wakutana nchini Rwanda

  • | Citizen TV
    1,177 views

    Viongozi wa bara la Afrika waliokutana nchini Rwanda wamesisitiza haja ya bara hili kujitegemea ili kukabiliana na ugaidi na uhalifu wa kimitandao. Mkutano huu ukijadili kwa mapana tisho la matatizo haya kwa usalama wa bara zima la Afrika. Collins Shitiabayi anahudhuria kongamano hili na kuandaa taarifa ifuatayo