10 Apr 2026 10:15 am | Citizen TV 291 views Duration: 2:01 Viongozi wa chama cha Jubilee katika kaunti ya Nyamira wamelalamikia ukosefu wa vitambulisho kati ya vijana, wakisema ni kizingiti kikubwa katika usajili endelevu wa wapiga kura.