Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa chama cha UDA kaunti ya Taita Taveta wametetea serikali

  • | Citizen TV
    263 views
    Duration: 1:30
    Viongozi wa chama cha UDA kaunti ya Taita Taveta wametetea serikali wakisema inaendelea kutekeleza miradi ya maendeleo katika kaunti hiyo. Wakiongozwa na mbunge wa Mwatate Peter Shake viongozi hao wanasema miradi ya barabara ambayo ilikuwa imekwama sasa imeanza kutekelezwa huku wakisifia ujenzi wa masoko katika maeneo tofauti nchini. Aidha walichukua nafasi hiyo kuandikisha wanachama wapya wa chama hicho huku wakijiandaa kwa uchaguzi wa chama mwezi ujao.