- 749 viewsDuration: 2:44Viongozi wa kidini kutoka sehemu mbalimbali nchini wamepinga mswada wa kudhibiti maeneo ya ibada wakisema hatua hiyo itahujumu uhuru wa kuabudu. Wakizungumza katika kaunti za Bungoma, Kisii na Embu, viongozi hao wanataka mswada uliopendekezwa kutupiliwa mbali