Viongozi wa EALA wanazuru mipaka ya Afrika Mashariki kujadili shughuli za forodha mpakani

  • | Citizen TV
    158 views

    Bunge la jumuia ya Afrika Mashariki EALA linaendeleza ziara ya siku mbili katika mji wa namanga kwenye mpaka wa kenya na tanzania ambayo inanuia kupiga msasa uhusiano wa kibiashara na itifaki za kufanya biashara kwenye mpaka huo.