Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza: Hata sisi tutatoa vijana waandamane tarehe 25 Juni kuunga Ruto mkono

  • | NTV Video
    2,079 views
    Duration: 1:30
    Viongozi wa Kenya Kwanza wameonya upinzani dhidi ya kuchochea Gen Z kujitokeza katika maandamano ya kumbukumbu ya maandamano ya Gen Z yatakayofanyika tarehe 25, wakisema hatua hiyo inalenga kuleta taharuki nchini. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya