Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza wausuta upinzani kwa kufadhili Maandamano

  • | KBC Video
    567 views
    Duration: 3:58
    Baadhi ya viongozi kutoka mrengo wa Kenya Kwanza sasa wamedai kuwa maandamano yaliyoratibiwa kuandaliwa tarehe 25, mwezi huu yamepangwa na kufadhiliwa na upinzani. Wakizungumza katika kaunti ya Uasin Gishu wakati wa ibada ya madhehebu mbalimbali iliyoongozwa na naibu rais Kithure Kindiki, viongozi hao walidumisha kuwa viongozi wa upinzani wanapania kufanikisha maandamano hayo kwa maslahi ya kibinafsi huku wakihimiza asasi za usalama kuimarisha usalama kote nchini. Abdiaziz Hashim na kina cha taarifa hii. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive