- 172 viewsViongozi kutoka eneo la Kitui na ambao wanaegemea serikali ya Kenya Kwanza wamesema wataendelea kuipigia debe serikali ya Rais Wuilliam Ruto ili iweze kusalia mamlakani baada ya uchaguzi mkuu ujao. Viongozi hao pia wamesuta upinzani kwa kuendeleza mgawanyiko nchini.