15 Apr 2026 10:32 am | Citizen TV 252 views Duration: 1:10 Viongozi wa kidini na kisiasa katika Kaunti ya Nandi wametoa wito kwa Wakenya, hususan wanasiasa, kuheshimu ofisi ya rais ili kudumisha amani na utulivu nchini.