Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kiislamu wa Magharibi wakashifu vurugu za kisiasa

  • | Citizen TV
    440 views
    Duration: 2:20
    Viongozi wa dini ya Kiislamu kutoka Magharibi mwa Kenya na Kaskazini mwa bonde la ufa wemelaani vikali visa vya vurugu na uharibifu vilivyoshuhudiwa wakati wa uchaguzi mdogo kote nchini na kuitaka serikali kuziba mapema mianya ya vurugu kabla ya uchaguzi mkuu ujao