8 Dec 2025 11:00 am | Citizen TV 1,168 views Duration: 2:20 Muungano wa upinzani nchini umekashifu kile walichokitaja kama unyakuzi wa ardhi yenye dhahabu huko Ikolomani kaunti ya Kakamega.