9 Nov 2026 10:43 am | Citizen TV 7,024 views Duration: 1:03 Baadhi ya viongozi Wa eneo la magharibi wamemtaka spika Wa Bunge ka kitaifa Moses wetangula na mkuu Wa mawaziri musalia mudavadi kuelezea jamii ya mulembe iliko asilimia 30 ya mgao Wa serikali kuu kama walivyoahidiwa.