Viongozi wa makanisa waunga mkono mazungumzo

  • | Citizen TV
    420 views

    Baadhi ya makanisa nchini sasa yanataka mazungumzo ya kitaifa yaliyopendekezwa kufanywa kwa mpangilio na kuwajumuisha vijana na serikali.