Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Mrengo wa ODM Pwani wakiikosoa serikali; Sifuna ashutumu Oburu

  • | Citizen TV
    35,181 views
    Duration: 3:23
    Mrengo wa linda mwananchi umepeleka siasa zake kaunti ya Mombasa ambako katibu mkuu wa ODM Edwin Sifuna amesema kamwe hawezi kuhuduu chini ya kinara wa ODM Oburu Oginga. Wanasiasa hawa pia wamewakosoa wenzao walio serikali wakisema wameshinda na msimamo wa kuwaokoa wakenya. Wameendeleza wito kwa vijana kujisajili kuwa wapiga kura.