Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa ODM wa mrengo wa Linda Mwananchi watangaza kuwa watafanya kongamano lao la wananchi

  • | NTV Video
    13,486 views
    Duration: 3:18
    Viongozi wanachama wa ODM wanaogemea mrengo wa Linda Mwananchi, wametangaza kuwa watafanya kongamano lao la wananchi, wanaloliita People's National Delegates' Convention, Ijumaa, siku ambayo wenzao wa Linda Ground watakapokuwa na Kongamano lao Spesheli la Wajumbe wa Kitaifa. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya