Viongozi wa Taita Taveta wataka siasa zikomeshwe nchini

  • | Citizen TV
    349 views

    Viongozi wa kidini kaunti ya Taita Taveta sasa wanatoa wito kwa wanasiasa nchini kupunguza cheche za kisiasa wakisema wakati huu ni wakufanyia wananchi maendeleo.