Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa UDA watetea uamuzi wa serikali kukaza kamba kuhakikisha mali ya umma haitafujwa

  • | Citizen TV
    3,099 views
    Duration: 3:02
    Haya yakijiri, viongozi wa Kenya Kwanza wameshutumu upinzani kwa kutumia sakata ya mafuta kutetea kampuni moja iliyohusishwa na sakata ya uagizaji wa petroli. Wakiongozwa na kiongozi wa wengi kimani ichungwa, viongozi hao waliokuwa kilifi wamesema serikali itaendelea kukaza kamba kuhakikisha kuwa mali ya umma haitafujwa.