- 12,419 viewsDuration: 2:33Muungano wa upinzani ukiongozwa na kinara wa wiper Kalonzo Musyoka na DCP Rigathi Gachagua wanaandamana hadi katika afisi za inspekta jenerali wa polisi Douglas Kanja kuwasilisha malalamishi yao kuhusu madai ya wahuni kukodishwa kuvuruga mikutano yao na umma. Wanamtaka Kanja kuwajibika na kuwachukulia hatua baadhi ya maafisa wa polisi wanaodaiwa kupanga vurugu hizo.