Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani wanamtaka katibu katika wizara ya usalama daktari Raymond Omollo ajiuzulu

  • | Citizen TV
    1,674 views
    Duration: 2:16
    Viongozi wa upinzani wanamtaka katibu katika wizara ya usalama daktari Raymond Omollo ajiuzulu baada ya seneta wa Vihiga Godfrey Osotsi kusambuliwa katika hoteli moja jijini Kisumu. Kulingana nao, idara ya usalama inafahamu fika wahuni wanaoshambulia watu ambao wanapinga serikali huku Osotsi akieleza yaliyojiri.