Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani wasisitiza umoja kuelekea uchaguzi mkuu wa 2027

  • | Citizen TV
    2,118 views
    Duration: 1:17
    Viongozi wengine wa upinzani pia wameendelea kushikilia kuwa watasimama pamoja kuhakikisha ushindi wao kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao. Viongozi hao Fred Matiang’i wa Jubilee, Martha Karua wa PLP na Ndindi Nyoro wa PPK wameendelea kurusha vijembe kwa utendakazi wa serikali kwenye mikutano yao kaunti za Laikipia na Nyeri.