Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa walemavu watoa wito wa amani kwenye uchaguzi

  • | Citizen TV
    148 views
    Duration: 1:19
    Viongozi katika kaunti ya Wajir wanahimiza wakenya kudumisha amani na utulivu wakati wa uchaguzi mdogo katika maeneo 24 hapo kesho. Akizungumza na Wanahabari mjini Wajir, Mwenyekiti wa Watu Wenye Ulemavu Kaskazini Mashariki, Hafid Maalim, amesema chaguzi ndogo hizi ni mtihani mkubwa kwa makamishna wapya wa IEBC. Amesema jinsi kamisheni itakavyosimamia zoezi hili litakuwa muhimu katika kujenga tena imani ya umma na kuimarisha maandalizi ya uchaguzi wa 2027.