8 Dec 2025 10:30 am | Citizen TV 376 views Duration: 2:35 Viongozi kutoka kaunti ya Tana River wameshtumu vikali mauaji yanayoendelea baina ya jamii mbili katika kaunti hiyo na kutaka hatua za haraka kuchukuliwa kabla hali kuwa mbaya zaidi.