9 Oct 2025 10:36 am | Citizen TV 921 views Duration: 2:15 Viongozi wa kisiasa kaunti ya Taita Taveta wamekemea vikali ubomoaji wa nyumba uliofanywa Mkocheni eneo bunge la Taveta, ambapo wakazi zaidi ya 500 waliachwa bila makao.