26 Nov 2025 11:01 am | Citizen TV 741 views Duration: 1:40 Viongozi mbalimbali wameitaka Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuharakisha uchunguzi kuhusu kifo cha Mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ya Munyuki, Simon Shange Isiaho.