Skip to main content
Skip to main content

Viongozi watoa rambirambi na kumfariji waziri Chirchir

  • | Citizen TV
    572 views
    Duration: 1:39
    Viongozi kutoka kaunti za Bomet na Kericho waliungana na familia ya Waziri wa uchukuzi na barabara, Davis Chirchir, katika kijiji cha Chebango, eneobunge la Sotik, kwa ibada ya wafu kufuatia kifo cha babake, Mzee Edwin Koech. Katika hafla hiyo iliyofanyika katika kanisa la Chebango AGC, watoto wa marehemu walimkumbuka kama mtu mwenye bidii, aliyejitolea kwa maendeleo ya kijiji hicho, na aliyekuwa na mchango mkubwa kwa jamii inayomzunguka. Viongozi mbalimbali waliohudhuria walitoa rambirambi zao na kuhimiza jamii kuendeleza maadili mema aliyoyaacha marehemu.