2 Dec 2025 11:03 am | Citizen TV 253 views Duration: 2:01 Kaunti ya Bungoma bado Inashuhudia visa vingi vya dhulma za jinsia kulingana na ripoti za ofisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma ODPP ambapo kesi zaidi ya 263 zinaendelea kusikizwa mahakamani.