18 Nov 2025 1:16 pm | Citizen TV 273 views Huku zikiwa zimesalia siku nane kwa uchaguzi ndogo katika eneo bunge la Kasipul, vijana na wadau mbali mbali wametakiwa kudumisha amani wakati huu ambapo kampeni za lala salama zimeshika kasi.