Skip to main content
Skip to main content

Visa vya ghasia vimeshuhudiwa katika eneo la Kasipul kufuatia uchaguzi mdogo unaokaribia

  • | Citizen TV
    351 views
    Duration: 3:13
    Huku zikiwa zimesalia siku nane kwa uchaguzi ndogo katika eneo bunge la Kasipul, vijana na wadau mbali mbali wametakiwa kudumisha amani wakati huu ambapo kampeni za lala salama zimeshika kasi.