Skip to main content
Skip to main content

Visa vya kujitoa uhai miongoni mwa wanaume vyaongezeka

  • | KBC Video
    65 views
    Duration: 1:50
    Wakazi wa kijiji cha Rwamburi huko Ndeiya wametoa wito kwa juhudi za haraka kufanywa kukabili visa vinavyokithiri vya watu kujitoa uhai.Hayo yanajiri kufuatia ripoti kwamba wanaume watatu wamejitoa uhai kwenye kijiji hicho katika muda wa mwezi mmoja uliopita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive