Visa vya wajane kulazimishwa mapenzi vyakithiri Kilifi

  • | Citizen TV
    470 views

    Kesi za mapenzi baina ya watu wa familia au jamaa moja zimekithiri katika kaunti ya Kilifi. Haya ni kwa mujibu wa Afisa wa shirika moja ambalo limefanya utafiti kwa Muda kaunti hiyo .