9 Jan 2026 1:13 pm | Citizen TV 884 views Duration: 1:17 Polisi wamemkamata mtengenezaji wa pombe haramu na kunasa lita elfu tano za pombe haramu ijulikanayo kama 'bikisodo' zimeharibiwa katika eneo la Mashuru mjini Emali mpakani mwa kaunti ya Makueni na Kajiado.