Skip to main content
Skip to main content

Vita vya ghuba vyaathiri mahuruji ya chai nchini Kenya

  • | Citizen TV
    275 views
    Duration: 1:45
    Wadau katika sekta ya majani chai wamelalamikia kukwama kwa shehena ya majani katika bandari ya Mombasa. Mkurugenzi mkuu wa muungano wa wauzaji majani afrika mashariki George Omuga amesema meli nyingi zimesitisha kutia nanga katika bandari ya mombasa na kusababisha mrundiko wa majani chai kutokana na mzozo unaoendelea baina ya marekani na Israel dhidi ya Iran. Omuga amesema kuwa sekta ya majani chai imekuwa ikipoteza zaidi ya dola milioni 8 kila wiki kutokana na mzozo huo.