Vitabu vilivyopatikana Kaptagat vimerejeshwa Nyamira

  • | Citizen TV
    809 views

    Hatimaye vitabu vya shule za kaunti ya Nyamira vilivyopatikana msituni Kaptagat katika kaunti ya Baringo vimefikishwa katika makao makuu ya kaunti hiyo tayari kwa usambazaji shuleni.