- 57,264 viewsDuration: 28:16Marekani imeamrisha wafanyakazi wasio na majukumu ya dharura kuondoka katika ubalozi wake wa Saudia Arabia na familia zao. Maafisa wa Saudi Arabia wanasema kuwa watu wawili wameuawa na wengine wanane kujeruhiwa katika shambulio lililotokea usiku wa manane katika Uwanja wa Ndege wa King Fahad mjini Dammam, karibu na Bahrain. Watu wawili waliouawa ni raia wa Saudi Arabia na raia wa India. Bado haijafahamika ni nani aliyehusika na shambulio hilo. #saudiarabia #HOUTHI #YEMEN #TRUMP #BBCSWAHILI #BBCDIRAYADUNIATV Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw