Vurugu ilishuhudiwa katika bunge la Nandi

  • | Citizen TV
    575 views

    Vurugu ilishuhudiwa Jana Usiku katika Bunge la kaunti ya Nandi baada ya makundimawili ya wawakilishi wadi kukabiliana vikali kuhusuiana kura ya kuunga mkono au kutupilia mbali ripoti ya kamati Maalum iliyoanganzia utendakazi wa serikali ya kaunti ya Nandi.