Skip to main content
Skip to main content

Vyama vya kisiasa vyakataa kusaini mkataba wa amani wa NCIC

  • | Citizen TV
    1,472 views
    Duration: 2:38
    Vyama vya kisiasa vimesusia kutia saini mkataba wa kudhibiti uchochezi wa kisiasa na machafuko ulioandaliwa na Tume ya Uwiano na Utangamano (NCIC). Vyama hivyo vinalalamikia kutohusishwa katika uundaji wa mkataba huo, huku vikitaja pia kususiwa kwa hafla hiyo na vyama vikuu vya kisiasa pamoja na kutokuchukuliwa hatua dhidi ya viongozi wanaohusishwa na machafuko kama sababu za kukosa imani na makubaliano hayo.