Vyama vya wahudumu wa afya vimeibua wasiwasi kuhusiana na mswada mpya

  • | KBC Video
    5 views

    Vyama vya wahudumu wa afya vimeibua wasiwasi kuhusiana na mswada mpya wa huduma bora za afya na wagonjwa wa mwaka 2025, wakiutaja kuwa marudio ya sheria zilizoko. Viongozi wa vyama hivyo wakiongozwa na mwenyekiti wa chama cha matabibu nchini Peterson Wachira, wanaonya kwamba mswada huo unaopendekezwa unaibua utata na kurudufisha majukumu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive