UGATUZI WA ELIMU
Vyama vya walimu, KUPPET na KNUT vimepinga vikali pendekezo la kiongozi wa chama cha ODM Raila Odinga la kugatua majukumu ya usimamizi wa shule za msingi na upili ili zisimamiwe na serikali za kaunti. Wakiongea katika kaunti ya Homa Bay, viongozi wa vyama hivyo walisema hatua hiyo italemaza sekta ya elimu humu nchini.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive