Vyanzo vya maji katika kaunti ya Trans Nzoia vyakumbwa na uharibifu wa misitu

  • | Citizen TV
    160 views

    Kaunti ya Trans Nzoia ni mwenyeji wa vyanzo viwili vya maji kati ya saba vinavyopatikana humu nchini. Hata hivyo, kuna hofu ya Vyanzo hivyo vya Mlima Elgon na Cherangany kukosa faida kutokana na uharibifu wa misitu.