Vyuo vikuu na vya kiufundi vimehimizwa kuwa na kitengo maalum ili kuripoti dhuluma ya kijinsia

  • | NTV Video
    215 views

    Vyuo vikuu pamoja na vile vya kiufundi nchini, vimehimizwa kuwa na kitengo maalumu ili kuwezesha wanafunzi kuripoti visa vya dhuluma ya kijinsia vinavyozidi kuongezeka baada ya wanafunzi kujiunga navyo. Katika Warsha iliyopangwa na kundi la Wikimedia Kenya User na kuwaleta wanafunzi pamoja, Mhadhiri mkuu wa Chuo Kikuu cha Pwani, Kilif, wanasema wakati wanafunzi wanapojiunga na chuo hicho hupewa ushauri kuhusi dhulma za mapenzi na jinsia.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya