31 Mar 2026 1:58 pm | Citizen TV 408 views Duration: 1:18 Vyuo vikuu vinane nchini vitapambana kuwania taji la kandanda la varsity cup lililozinduliwa hapa jijini nairobi. Mchuano huo utakaoanza aprili 7 unalenga kukuza vipaji vya wanafunzi wa vyuo vikuu ambavyo haviangaziwi sana.