Wa Iria atuhumiwa kwa ufisadi, atafika mbele ya tume ya EACC kesho

  • | KBC Video
    139 views

    Aliyekuwa gavana wa kaunti ya Muranga, Mwangi Wa Iria atafikishwa mbele ya tume ya maadili na kupambana na ufisadi kesho tarehe 17 mwezi Aprili mwaka huu kufafanua kuhusiana na sakata ya zabuni ya uchapishaji matangazo ya shilingi milioni 140.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive