Skip to main content
Skip to main content

Waathirika waokolewa kutoka kwenye tope baada ya janga Nepal.

  • | BBC Swahili
    16,597 views
    Duration: 36s
    Vikosi vya uokoaji vinakimbizana na muda ili kuwaokoa watu walionusurika baada ya Maporomoko makubwa ya ardhi na mafuriko ya ghafla kushuhudiwa katika mpaka wa Nepal na Tibet. Idadi ya waliofariki kutokana na janga hilo kwa sasa imefikia watu 177, Idadi rasmi ya vifo inatarajiwa kuongezeka, huku mamia ya watu wakiwa bado hawajulikani walipo. Juhudi za kuwatafuta manusura bado zinaendelea #bbcswahili #nepalnatibet #maporomokoyaardhi Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw