Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa dhuluma za polisi walalamikia kutengwa kwenye mpango wa fidia

  • | Citizen TV
    741 views
    Duration: 2:47
    Hayo yakijiri, waathiriwa zaidi wa dhuluma za polisi na hata jamaa za waathiriwa wanalalamikia kutengwa kwenye mchakato wa kutoa fidia, siku sita kabla ya zoezi hilo la kamati ya Profesa Makau Mutua kufungwa. Chini ya Muungano wa Kina Mama, waathiriwa hawa sasa wanamtaka Rais William Ruto kuingilia kuhakikisha wanapewa fidia kama wenzao. Ode Francis ana taarifa hii kwa kina.