8 Dec 2025 10:50 am | Citizen TV 2,071 views Duration: 2:01 Mradi ya kuwapa makao wenyeji wa kaunti ya Tana River wanaoathirika na mafuriko mara kwa mara uliyokuwa umekwama sasa umerejelewa.