Skip to main content
Skip to main content

Waathiriwa wa moto Nkaimurunya wataka maelezo kuhusu matumizi ya fedha za dharura Kajiado

  • | Citizen TV
    254 views
    Duration: 1:51
    Serikali ya kaunti ya kajiado imetakiwa kueleza matumizi ya fedha za dharura huku waathiriwa wa mkasa wa moto huko Nkaimurunya kajĩado kaskazini wakilalamikia ukosefu wa msaada baada ya kupoteza mali yao kwenye mkasa wa moto wiki iliyopita